MAOMBI YA KUKAMATA MALI KUKAZA HUKUMU (FOMU MADAI 13)
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MAHAKAMA YA TANZANIA
Katika Mahakama ya Mwanzo ya Wilaya ya
Kituo cha Mkoa
Shauri la Madai/Ndoa Na /20
Jina la mdai
Jina la Mdaiwa
MAOMBI YA KUKAMATA MALI KUKAZA HUKUMU
(Kanuni ya 62 ya Kanuni za Utaratibu wa Madai katika Mahakama za Mwanzo)Kwa ombi hili, naiomba Mahakama hii kukamata mali za Mdeni Mhukumiwa kwa sababu za kushindwa kulipa deni/tuzo/fidia/mali ili kukaza hukumu kama ilivyotolewa tarehe Mwezi Mwaka
ORODHA YA MALI ZINAZOOMBWA KUKAMATWA
Maombi haya yameletwa leo, Tarehe Mwezi Mwaka
Sahihi ya Muombaji
HAKIMU