PINGAMIZI LA KUKAMATA MALI KWA ASIYE MDAAWA (FOMU MADAI 15)
Maelezo ya Mahakama
Wahusika
Maelezo ya Pingamizi
Tarehe ya Maombi
Imepokelewa
Sahihi ya Muombaji
Magistrates Court (Approved Forms for the Primary Court)

GN. NO. 943 (Contd.) FOMU MADAI - 15
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MAHAKAMA YA TANZANIA

Katika Mahakama ya Mwanzo ya Wilaya ya

Kituo cha Mkoa

Shauri la Madai/Ndoa Na /20

Jina la mdai

Jina la Mdaiwa

PINGAMIZI LA KUKAMATA MALI KWA ASIYE MDAAWA
(Kanuni ya 70 ya Kanuni za Utaratibu wa Madai katika Mahakama za Mwanzo)

Taja mali na sababu za pingamizi :-

Hivyo, naleta pingamizi katika Mahakama hii kwamba, amri ya kukamata mali tajwa hapo juu isitishwe ili kubaini uhalali wa ukamataji wa mali hiyo/hizo.

Maombi haya yameandaliwa leo Tarehe Mwezi Mwaka

MUOMBAJI

Imepokelewa leo Tarehe Mwezi Mwaka

............................................
Sahihi ya Karani wa Mahakama
Data imehifadhiwa