HATI YA KUKAMATA MALI (FOMU MADAI 16)
Maelezo ya Mahakama
Wahusika
Maelezo ya Hati
Tarehe ya Kutolewa Hati
Sahihi ya Hakimu
Magistrates Court (Approved Forms for the Primary Court)

GN. NO. 943 (Contd.) FOMU MADAI - 16
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MAHAKAMA YA TANZANIA

Katika Mahakama ya Mwanzo ya Wilaya ya

Kituo cha Mkoa

Shauri la Madai/Ndoa Na /20

Jina la mdai

Jina la Mdaiwa

HATI YA KUKAMATA MALI
(Kanuni ya 56 & 63 ya Kanuni za Utaratibu wa Madai katika Mahakama za Mwanzo)

Kwa

Baada ya kusikiliza ombi la lililofanywa tarehe Mwezi Mwaka , na kuridhika kwamba kuna sababu za kutosha kutoa amri ya kukamata Mali iliyotajwa katika orodha ya hapa chini.

Unaamriwa kukamata mali zilizotajwa katika orodha hapa chini na kurudisha Hati hii kabla ya tarehe Mwezi Mwaka pamoja na madhumuni yake kuthibitisha siku na namna ilivyotiinzwa au kwa nini haikutimizwa.

ORODHA

Hati hii imetolewa kwa Amri na Muhuri wa Mahakama leo, Tarehe Mwezi Mwaka

HAKIMU

Data imehifadhiwa