HATI YA MAUZO (FOMU MADAI 18)
Mahakama
Taarifa za Mwombaji
Mdai & Mdaiwa
Maelezo ya Mauzo
Sahihi ya Hakimu
Magistrates Court (Approved Forms for the Primary Court)

GN. NO. 943 (Contd.) FOMU MADAI - 18
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MAHAKAMA YA TANZANIA

Katika Mahakama ya Mwanzo ya Wilaya ya

Kituo cha Mkoa

Shauri la Madai/Ndoa Na /20

Jina la Mwombaji Jinsia

Makazi Umri

Anuani ya Makazi Kazi

Simu Barua Pepe

MAHAKAMA YA TANZANIA

Katika Mahakama ya Mwanzo ya Wilaya ya

Kituo cha Mkoa

Shauri la Madai/Ndoa Na /20

Jina la Mdai

Jina la Mdaiwa

Magistrates Court (Approved Forms for the Primary Court)

GN. NO. 943 (Contd.)
HATI YA MAUZO
(Kanuni ya 84(2) ya Kanuni za Utaratibu wa Madai Mahakama za Mwanzo)

Hii ni kuthibitisha kwamba mali iliyopo eneo la wilaya ya iliuzwa kwa mnada wa hadhara Tarehe mwezi mwaka kwa kiasi cha shilingi

Aidha, hati hii inathibitisha kwamba mnunuzi ndugu ametangazwa kuwa ni mnunuzi halali katika mnada huo uliofanywa na

Kwa kuwa hakuna maombi yoyote yaliyowasilishwa ya kutengua mauzo hayo inatamkwa rasmi kwamba tokea tarehe ya leo mwezi mwaka ndugu ndiye mmiliki halali wa mali hiyo.

Hati hii imetolewa kwa amri yangu na muhuri wa Mahakama leo Tarehe Mwezi Mwaka

HAKIMU