MAOMBI YA KUTENGUA MAUZO (FOMU MADAI 19)
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MAHAKAMA YA TANZANIA
Katika Mahakama ya Mwanzo ya Wilaya ya
Kituo cha Mkoa
Shauri la Madai/Ndoa Na /20
Jina la Mwombaji Jinsia
Makazi Umri
Anuani ya Makazi Kazi
Simu Barua Pepe
Dhidi ya
MAOMBI YA KUTENGUA MAUZO
(Kanuni ya 85(1) ya Kanuni za Utaratibu wa Mashauri ya madai Mahakama za Mwanzo)Mimi naomba kutengua mauzo yaliyofanyika tarehe mwezi mwaka kwa sababu zifuatazo:-
Tarehe Mwezi Mwaka
Sahihi ya mwombaji
Imepokelewa leo Tarehe Mwezi Mwaka
Sahihi ya Karani wa Mahakama