FOMU YA NDOA - 1
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MAHAKAMA YA TANZANIA
Katika Mahakama ya Mwanzo ya Wilaya ya
Kituo cha Mkoa wa
Shauri la Ndoa Na. /20
Jina la Muombaji Jinsia
Makazi Umri
Anuani ya Makazi Kazi
Simu Barua Pepe
Jina la Mjibu Maombi Jinsia
Makazi Umri
Anuani ya Makazi Kazi
Simu Barua Pepe
HATI YA MAOMBI YA TALAKA/UTENGANO/TAMKO LA KUBATILISHA NDOA
(Vifungu vya 77, 81, 99 na 106 vya Sheria ya Ndoa)-
Maelezo ya ndoa kwa ufupi:
(a) Taarifa za ndoa
|
Ndoa hii ni ya
|
Namba ya Cheti cha Ndoa
|
|
Mahali Ilipofungiwa
|
Muda Walioishi Pamoja
|
(b) Taarifa za watoto (Taja majina ya watoto na tarehe zao za kuzaliwa)
| Jina la Mtoto | Tarehe ya Kuzaliwa |
|---|---|
(c) Taarifa za mali za pamoja (Toa maelezo ya mali, sehemu zilipo na makisio ya thamani)
| Mali | Sehemu Ilipo | Makisio ya Thamani |
|---|---|---|
- Sababu za maombi ya talaka/utengano au tamko la kubatilisha ndoa:
(a)
-
Taarifa za usuluhishi wa baraza la ndoa
-
Maelezo ya mashauri yaliyotangulia
-
Eleza kama kuna makubaliano yoyote kuhusu mgawanyo wa mali,
matunzo au ulinzi wa watoto
-
Nafuu zinazoombwa
- Ada za Mahakama
- Uthibitisho
Mimi nathibitisha kwamba maelezo yote yaliyotolewa hapo juu ni ya kweli kwa kadri ninavyojua,
Tarehe Mwezi Mwaka Mahali
Saini ya Muombaji
Imepokelewa leo hii tarehe mwezi mwaka
Saini ya Karani/Hakimu