MAOMBI YA ZUIO (FOMU MADAI 8)
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MAHAKAMA YA TANZANIA
Katika Mahakama ya Mwanzo ya Wilaya ya ....................
Kituo cha .................... Mkoa ....................
Shauri Na .................... /20 ....................
Jina la Mdai ....................
Jina la Mdaiwa ....................
AMRI YA ZUIO
(Kanuni ya 17(2) ya Kanuni za Utaratibu wa Madai)KWA;
..........................................
Mahakama hii baada ya kusikiliza ombi la .......................................... lililowasilishwa tarehe .......................................... mwezi .......................................... mwaka .......................................... na kuridhika kuwa kuna sababu za kutosha.
Hivyo Mahakama hii inaamuru kwamba:
..........................................
Imetolewa kwa Amri yangu na Muhuri wa Mahakama tarehe ........ mwezi ........ mwaka ........
HAKIMU